Jay Melody – Nakupenda (Lyrics)

Jay Melody – Nakupenda (Lyrics) https://smarturl.it/jaymelodynakupenda Lyrics: Iwe giza, baridi na upepo Iwe kuna mawingu na minyesho, Your body baby joto (joto) Unafanya nijihisi special, Unanipa sababu ya uwepo, Kando yako we mtoto, My desire, we nipe dawa, Mi mahututi,…

Jay Melody - Nakupenda (Lyrics)

Source

0
(0)

Jay Melody – Nakupenda (Lyrics)

https://smarturl.it/jaymelodynakupenda

Lyrics:

Iwe giza, baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho,
Your body baby joto (joto)
Unafanya nijihisi special,
Unanipa sababu ya uwepo,
Kando yako we mtoto,
My desire, we nipe dawa,
Mi mahututi,
Sijielewi ooh my God
Shida ni nimekolea penzini,
Shida ni baby uko moyoni wewewe!
Nakupenda we,
Nakutaka we,
Kwako sijiwezi,
Ooh my love!
Mpenzi we,
Roho yangu we,
Kwako sijiwezi,
Ooh my love!
Akili, mwili baby,
Hasira zangu navituliza,
Ukiongea nasikiliza,
Yote sababu ya upendo!
Baby baby baby,
Vindimu chumvi ya kunyunyiza,
Yani uroda kupitiliza,
Nimeumaliza mwendo,
Kiukweli, napendwa,
Nachanganywa
Na haya ma raha,
Shida ni nimekolea penzini,
Shida ni baby uko moyoni, wewewe!
Nakupenda we (anhaaa)
Nakutaka we (oh nana nana)
Kwako sijiwezi
Ooh my love (ooh my baby)
Mpenzi we (oh nonono)
Roho yangu we (aaaah yayaya)
Kwako sijiwezi
Ooh my love

Tags:
Jay Melody – Nakupenda (Lyrics), jay melody nakupenda, jay melody nakupenda lyrics, nakupenda lyrics, nakupenda, nakupenda by jay melody lyrics, nakupenda by jay melody,

#jaymelody #nakupenda #lyrics

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

As you found this post useful...

Follow us on social media!

We are sorry that this post was not useful for you!

Let us improve this post!

Tell us how we can improve this post?