Bien – Inauma (Lyrics)

Bien – Inauma (Lyrics) Stream ‘Inauma’ Out Now https://ingrv.es/inauma-xh9-t Lyrics: Kukosana na wewe sikutarajia Kuwa mbali na wewe aki imeniacha pabaya Kutengana na wewe imenibadilisha sana Nimetamani nilewe aki nakunywa nasazama Ntaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga Nakumbuka tulipeana…

Bien - Inauma (Lyrics)

Source

0
(0)

Bien – Inauma (Lyrics)

Stream ‘Inauma’ Out Now https://ingrv.es/inauma-xh9-t

Lyrics:

Kukosana na wewe sikutarajia
Kuwa mbali na wewe aki imeniacha pabaya
Kutengana na wewe imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe aki nakunywa nasazama
Ntaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina leo bebi kesho tomato mitandao ikaleta fitina
Ukawa huambiliki na mimi kichwa changu kikavimba nikawa sisemezeki

Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa

Densi ooh densi
Densi tulikamata hadi usiku wa manane
Kesi ooh kesi
Kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo ooh nyimbo
Nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi ooh kamisi
Kamisi na biker uliwacha nanusanga ndio nilale oo yoyo
Tutaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
nakumbuka tukila bata na beer
Parte after parte, shetani gani alituingilia
Akatuweka hasana hilo vitopa limenifikisha
I’ll never love another night

Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa

Tags:
Bien, inauma, bien inauma, bien inauma lyrics, bien inauma, inauma lyrics, inauma by bien, inauma by bien lyrics, bien sauti sol,

#bien #inauma #lyrics #sautisol

How useful was this post?

Click on a star to rate it!

Average rating 0 / 5. Vote count: 0

No votes so far! Be the first to rate this post.

As you found this post useful...

Follow us on social media!

We are sorry that this post was not useful for you!

Let us improve this post!

Tell us how we can improve this post?